Edo hilo jina la Mrithi wa Dandu sijampa mimi. Mwenyewe H-baba ndio anajiita hivyo katika wimbo wake wa Poteza. Anyways, wote wawili (Fidi na H-Baba) nawakubali sana; but if I had to pick one, ofcourse Fid Q; Mwamba wa Kaskazini nimezisikia kazi zake nyingi zaidi na zote zinakubalia. Ila kuhusu nani ni mrithi hasa wa Dandu, well, they say "Mambo ya Ngosha mwachine Ngosha mwenyewe". Hivyo basi nitawaachia ndugu zangu wa Rock-City waamue which of their two sons is the true heir to the crown!!