sorry wazee nilikuwa sijalog in karne; ndio naziona msgz. Klex 2008; mi niko shwari kaka. We vipi?
respect sana Akudo
Nali inakuaje man shwari ,
wazee wa masauti namzimi sana huyo stade show wao na ule mwimbo wao Mapenzi yako wapi.siku nilipokuwa home jioni moja ikabidi nikawaone mmmh usipime nomarsafi kwenu