Duuh! yaani sauti ya Julius Nyaisanga inanikumbusha kipindi nikisiliza alivyokuwa akilinadi gazeti la Komesha..aa
Inaonekana ni bomba hii filamu; kila la kheri.