mwana asikuambie mtu nyimbo beat demu viko njema,ebwana mwana huyo demu anakaa wapi bongo,maana masela wamedata nae binti kiziwi,mwambie dogo akaze anaonekana fani anaijua,big up sanaaaaaaaaaaaaa